Lakini Magufuli ndio mgombea pekee katika kampeni zake huomba kura hata za wapinzani wake na hivyo si vibaya akapigiwa kura na Lissu na wafuasi wake.Na magufuli akampigia kura Lissu[emoji3]
Lazima aombe kura kutoka kwa upinzani maana ccm walishapoteza ushawishi kwa watanzaniaLakini Magufuli ndio mgombea pekee ktk kampeni zake huomba kura hata za wapinzani wake na hivyo si vibaya akapigiwa kura na Lisu na wafuasi wake.
ndio uzuri wa kura ya siri
Jambazi likiiba linastahili kupelekwa mahakamani siyo kupewa uongoziKura zote kwa Magufuli hadi zijae
jambo baya ni kuisaliti nafsi yako, chagua unacho kiamini acha kuhofia, siasa sio dini.Huo utakuwa ni usaluti na usaliti una kunyima amani na ni laana.
hakuna kipindi kigumu kwa wagombea kama wakati wa kusubiria matokeo..... wagombea wengi presha hupanda na kushuka, lkn kila mgombea atavuna alicho kipandaKura ni Siri pia ni fumbo wakati wa kusubili matokeo
And vice versaWiki ijayo tarehe 28/10 watanzania wote tunaenda kupiga kura kuchagua Rais, wabunge na madiwani
Jambo moja ambalo kila mmoja anapaswa alitambue ni kwamba kura yako ni siri yako.
Maana yake ni kwamba unaweza kuwa unampenda sana au ni rafiki wa karibu na Lissu lakini bado unaweza kumpigia kura yako Magufuli na wakati huo huo Lissu hawezi kujua kama umempigia kura Magufuli. Unaweza kufanya hivyo na bado urafiki wenu na Lissu ukaendelea bila hata matatizo unaweza kunywa nae hata chai, unaweza hata kumdanganya kuwa nimekupigia kura wewe na ukamshangilia na asijue, huo ndio uzuri wa kura ya siri.
Kura ya siri haina uadui wala ugomvi mpigie kura unayemuamini na urafiki wenu/wako bado utaendelea baada ya uchaguzi.
Kuna uwezekano mkubwa tarehe 28/10 Lissu akampigia kura Magufuli.
KURA NI SIRI YAKO
Kura yangu nampa Lissu,za Magufuli zitapelea.Kura zote kwa Magufuli hadi zijae