Uzuri wa kozi

Uzuri wa kozi

Mchepuko1

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
215
Reaction score
103
  • Wakuu kuna mtu anauliza kati ya bachelor of art in geography and environmental studies na bachelor of art in library and information studies ipi ni nzuri kusomea
 
Haki ya A MUNGU Muumba mbingu na nchi
  • Wakuu kuna mtu anauliza kati ya bachelor of art in geography and environmental studies na bachelor of art in library and information studies ipi ni nzuri kusomea
Nakushauri usome LIBRARY. Achana na upuuzi mwingine
 
Jaman nauliza uzur wa coz ya developmental studies??
Naomba kujuzwa kwa anaeijua vizur
 
Da mdgo wangu ndo kapata hio udom, sijui watakubali kubadili
 
Sorry wakuu please...
naomba mnijuze kuhusu BACHELOR OF PARTICIPATORY PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT... Ubaya wa hii kozi for future
 
[emoji23][emoji23]amna coz apo..ila aina namna aende tu akaweke jina kua ana degree ila amna kitu apo
 
Course gan nzur, ambayo watamruhusu kubadili huyu dogo kutoka Developmental studies.
Au ende libraly au accountant
 
Back
Top Bottom