FTP JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 514 Reaction score 240 Jan 13, 2014 #1 Zipo nyingi kariakoo na kwenye maduka ya hizi za Apple . wanauza 150,000 -250,000 fedha za kibongo. kuna mdau aliyekwisha zitumia. kama vipi tununue maana vidole kwa simu ni noma jamani.
Zipo nyingi kariakoo na kwenye maduka ya hizi za Apple . wanauza 150,000 -250,000 fedha za kibongo. kuna mdau aliyekwisha zitumia. kama vipi tununue maana vidole kwa simu ni noma jamani.
msafwa93 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 4,840 Reaction score 6,148 Jan 13, 2014 #2 ina maana wameweza ku-COPY IOS.?
high vampire JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 2,945 Reaction score 2,183 Jan 13, 2014 #3 naona hiyo hela huna matumizi nayo vipi jipange uchukue ile yenyewe original nyingi ni vimeo