Uzuri na ubaya wa gari aina ya toyota vitz

Kig

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
1,076
456
Wadau naomba mnijuze uzuri na ubaya wa gari aina Toyota Vitz. vigezo muhimu vikiwa, ulaji wa mafuta, upatikanaji wa spea na gharama za spea, ugumu wa body yake, matatizo ya kiufundi nk mengine mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…