ikyenja
Senior Member
- May 28, 2013
- 103
- 53
Habari za hapa wanajukwaa!?
Kuna jambo sijalielewa, mimi huwa naleta hapa mambo ambayo siyaelewi vizuri kutokana na mazingira niliyokulia. Kila jambo nipo serious nalo ili nipate maoni tofauti toka kwenu. Kwa yote nashukuru sana.
LA leo ni hili. Nilikuwa na mpenzi wangu kipindi cha miezi miwili huko nyuma, huyu binti, sikuielewa hali yake ya mwezi yaani m.p.
Ni hivi kuna siku niliota ndoto anatumia dawa za kuzuia mimba, halafu siku tatu baadae nikamuuliza kama ni kweli, jibu lake ni ndio.
Maisha yakasonga, nikaja kushtuka mwenzangu hapati m.p ndani ya miezi miwili. Nikafikiri labda mwenzangu hana mpangilio mzuri wa siku zake, yaani siku 15, miezi 3. Hii hutokea kwa wanawake ambao wana matatizo ya hedhi, ingawa sina uhakika na hili.
Naomba kupata ukweli kama hii ni hali ya kawaida au lah.
Je matumizi ya vidonge vya kuzuia ujauzito huchangia kutopata siku za mwezi hadi miezi 3 ipite!?
Ni athari gani za jambo hili kiafya!?
Au ni haya ma UTI, STDs au STIs!?
Kawaida yangu kila fresh lover, a HIV/AIDS test is must no matter what!
Ikumbukwe hana ujauzito, lakini pia wengi wa hawa wenzetu hawasemi ukweli.
Karibuni wazoefu hasa kina dada au mama mtupe ukweli sisi vijana wenu tusio na ufahamu.
Asanteni kwa muda wenu