Uzito wa dada zetu na wachumba/wake zetu

pia huwa waongezeka maradufu wakivaa makorokoro kibao...titi la bandia, kalio la bandia, nywele za bandia n.k
 
loh nyie wanaume mna mambo!!! make up nayo inaongeza uzito jamani
 
pia huwa waongezeka maradufu wakivaa makorokoro kibao...titi la bandia, kalio la bandia, nywele za bandia n.k
Hapo bado hajaongeza na fuko lililojaa makorokoro begani, charger na simu la Samsung Galaxy kwa ajili ya Chatting
 
Hapo bado hajaongeza na fuko lililojaa makorokoro begani, charger na simu la Samsung Galaxy kwa ajili ya Chatting

na bado uzito wa soli ya kiatu, maana kuna wadada huwa wanavaa kiatu kina soli kubwa utadhani foundation ya nyumba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…