ahahahaahahaaaa...haya mambo ndo huwa yananifanya niipende EAC na hasa ile fast-tracking yake ya maingiliano ya jamii zetu...sahivi sie tutawafundisha hawa kina kenyan boy "kiswahili fasaha"...nao in-exchange watatufundisha "Queen's english"....sasa kenyan boy...huwa hatusemi uZingizi..tunasema uSingizi