Uzinduzi

Siku hizi hakunaga watu wanazinduana mpaka basi, huwa najiulizaga baada ya harusi wanaendaga honeymoon kufanya nini sijui.
 
Zamani sana wasukuma walikuwa
na swagga kama hizo kwa mabikira akiposwa lazima afanyiwe uzinduzi asubuhi ile unaamka mwanaume unatoka kifua wazi ukiwa umejifunga khanga tu au nguo yoyote ili mradi uwe kifua wazi halafu utaenda kumwambia mama yako kuwa umekuta kitu ni slid mama naeye atamwambia mzazi wa mwanamke hongera unajua kulea
 
Dah!! Hii katuni imenichekesha sana leo......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…