Kama kichwa cha habari hapo juu nimekaa na na kuwaza bila jibu ni nini kimewafanya watengenezaji wa cm za tecno kwenda kufanya usinduzi wa simu zao Dubai.
Je ni kutangaza masoko au ni teknolijia yao imekuwa na kuwa na bidhaa bora kwa sasa ?

Tecno India wana soko lao kama ilivyo hapa Afrika,kwa hiyo kuzindua simu India siyo kama wame-improve,kiasi chao cha ubora ni kilekile tu cha Siku zote.