Uzinduzi wa rasimu ya katiba.

Uzinduzi wa rasimu ya katiba.

RUMANYIKA

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
315
Reaction score
74
Leo ni uzinduzi wa rasimu ya katiba mpya. Uzinduzi huo unafanyika viwanja vya karimjee. Kuna vituo ya tv kama itv na tbc vinaonyesha live. Mgeni rasmi ni makamu wa rais na makamu wa kwanza wa rais toka znz. Karibuni tufuatirie. Baadhi ya viongoz wa vyama vya siasa wameonekana ila viongozi wa chama makin mbona hawaonekani?
 
Back
Top Bottom