Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,286
- 271,521
Taarifa kutoka Chadema zinaeleza kwamba, Kutakuwa na uzinduzi wa mikutano ya hadhara kwa Nchi nzima , na kwa kuanzia jambo hilo litafanyika Kanda ya Nyasa kuanzia tarehe 23/03/2025.
Tunashukuru Chama kwa kuamua kuanzia jambo hili kwenye kanda yetu, Bali tunalo ombi maalum kwamba ni muhimu sana Mikutano hiyo ikafika Jimbo la Kyela, Hii ni kwa sababu zaidi ya 70% ya Wakazi wa Kyela wanaunga mkono Chadema, Jimbo lenye karibu watu wote wanaounga mkono Chadema linapaswa kupewa kipaumbele kwenye mikutano kama hii.
Chadema Kyela ishamaliza kazi ya kuiua ccm, Ukitaka kuthibitisha jambo hili nenda Boda ya Kasumulu ujionee, Unapotokea Lilongwe, Alama ya Kwanza unayoiona ya Tanzania ni Bendera ya Chadema, Kinachofanyika sasa ni kuvielimisha vyombo vya dola ili vitambue kwamba Jukumu lao kubwa si kuilinda ccm