Kitabu "JUHUDI NA CHANGAMOTO" Kilicho andikwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislaam nchini Sheikh Ponda Issa Ponda kitazinduliwa tarehe 04/09/2022. Uzinduzi wa kitabu hicho utafanyika katika hafla ya Uhamasishaji Uandishi wa Vitabu kwa Viongozi Nchini.
Kitabu kitapatikana kwa Tsh 15,000, wahi nakala ni chache.
Mawasiliano No. 0713118812