Shalom Shalom wapendwa.
Ninamaandalizi ya tamasha la uzinduzi wa Albam ya video Mpya.
Tamasha linafanyika Mkoani Tabora
Nawakaribisha sana kusapoti maandalizi poa karibuni sana ndugu zangu 24 sep,2023
Walio tayari naomba tuwasiliane kwa namba hizo kwenye post.