Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,094
- 138,013
Mnarudi kutetea ubingwa wenu upi? Mbumbumbu wakiwa kwenye kiwango Chao huwezi kuwaelewa.View attachment 2309778
Leo ni uzinduzi rasmi wa Simba Week, tuna mambo mengi kwenye wiki hii.
"Msimu huu tunarudi kwa nguvu, tunarudi kutetea ubingwa wetu na slogan yetu ni WE ARE UNSTOPPABLE - HATUSHIKIKI – HATUZUILIKI.- CEO Barbara
Kwa wachezaji gani?View attachment 2309778
Leo ni uzinduzi rasmi wa Simba Week, tuna mambo mengi kwenye wiki hii.
"Msimu huu tunarudi kwa nguvu, tunarudi kutetea ubingwa wetu na slogan yetu ni WE ARE UNSTOPPABLE - HATUSHIKIKI – HATUZUILIKI.- CEO Barbara
Zoezi la usajili bado linaendelea. Wiki ijayo timu yetu ya digital itaanza kutangaza wachezaji wengine.- CEO Barbara.
Kombe lenu lipi hilo? Ninachojua bonanza la mapinduzi ni January ndo kombe lenuTunarudi kuchukua kombe letu. Unstoppable!!!
[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
[emoji3590][emoji3590][emoji833][emoji833]
Nguvu 1
Wait and see Brother!!! Wanakwambia tuliza ngenge utopoloYani maneno wanayotumia ndiyo ingekua vitendo, tungekua mbali sana.
Mbona unateseka kinyesi...??? tulia Wanaume kaziniMnarudi kutetea ubingwa wenu upi? Mbumbumbu wakiwa kwenye kiwango Chao huwezi kuwaelewa.
Joyce lomalisa okra's wife
ni mpumbavu tu anayeishi bila malengo.Yani maneno wanayotumia ndiyo ingekua vitendo, tungekua mbali sana.
imekuuma?Barbara pengine ndio CEO anayeongoza kushika mic kuliko maCEO wote nchini...
imekuuma?