Uzi wa walioumiza watu kimapenzi

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
21,515
41,977
Uzi huu ni kwa ajili ya Kutaja majina ya watu uliowahi kuwaumiza kimapenzi..yani Uliwamwaga au ulimmwaga wakati yeye kakolea balaa akwa anakutxt hujibu..piga simu hupokei mpaka wengine hujitishia kujiua!! Ebu comment jina lake tuone..

Me ni aneth na neema hawa naomba wanisamehe tu sikupanga kuwaumiza ila ndo maisha
 
1.Jaman Yohhana mwanajeshi nahisi Karma yako kwangu inafanya kazi

2.Edwin poleee sana

3.Mwanajf fulan pole endelea kuniponda kwenye comment nishakuacha

4.Amossy

5.Kareem

6.Solomon

7.Emaa boy

8.John

9. COUNSELLOR......

10.Angelo..

Duhh nimechoka hakika nimechoka kuwataja
 
Duh kweli wew nikiboko
 
Nimekumbuka kitabu cha Orodha ghafla😄
 
List kama yote...Itakuwa una takoo kubwa sna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…