Uzi wa wachaga wote tunaokwenda Kilimanjaro msimu huu!!

Naona hawa jamaa wametutenga kabisa, itabidi tutangulie tuweke magogo kuanzia Hedaru, Makanya na Same ili wasipite huko kwao.
Utawauwa hasa Warombo.
Labda muweke road broke! Wachangie kidogo
 
Sisi ambao ni wapare mbona hatupo kwenye hiyo list yako ?
 
Watakaokosa nauli natoa TATA Marcopollo. Lazma wachaga turinge. Sisi ni waisraeli bana.
 
daaah mtuwakilishe wengine ambao hatutoweza kufika ila tungetamani kweli kweli kupigwa na kibaridi cha asubuh cha moshi
 
Eti wanama mbege sasa ivi shing'api chubuku na kitochi na nauli bei gani kuanzia moshi mjini hadi kibosho kirima?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…