Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,736
- 39,838
hahaha hizo stats ulivyozipanga. ungesema pia hayo magoli manne aliyapata hatua za makundi baada ya hapo hakuonekana tena alikua anazurura zurura tu uwanjani.Messi hana nguvu lakini amefidia kwenye flexibility na mbinu. Ili uchukue Moira ni kwa asilimia kubwa umchezee faulo.
Kwa taarifa 2014 world cup Messi alifunga goal 4 kati ya magoli yote 7 ya Argentina. Kama 57% ya magoli. Hao wengine ndio wamegawana hayo matatu akina Aguero. Messi mfungaji bora was Muda wote wa Argentina kama 61 goals linganisha na 34 ya maradona. Namaanisha Messi ana mchango mkubwa Argentina kuliko Barca tatizo wengine wenye majina makubwa hawakazi wakijua mambo yakienda mrama mzigo kwa Messi.
Ni mashondano gani Messi amechangia zaidi ya 57% ya magoli ya Barca kwenye mashindano yoyote?
CR7 na magoli yake 3 EURO 2016 ameshinda kombe mwisho twahesabu ameipa ubingwa nchi yake.
Watu tunasahau sana nguvu ya wachangiaji wengine katika kuipa timu ubingwa. CR7 ni ndoto kuchukua world cup kutokana na uwezo mdogo was wenzie. Sasa tutasema CR7 so chochote kiss hachukui WORLD CUP.
Tukiangalia uwezo wa mtu tuangalie alichofanya yeye. Sio timu. Kwa vile timu kushinda ni mjumuiko.
Halafu ukitaka jua ubora wa akina Pele usiangalie Highlights ambazo Mara nyingi huweka mambo matamu Tu. Ukiwekewa Highlits za Bendtner utamtukana Wenger kwa kumuacha.