Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

Namtafuta sister angu mmoja anaitwa eveta tulikuwa tunakaa wote manzese beston alimaliza Baptist secondary mwaka 2006 mara ya mwisho alisema anaenda Arusha

Hahahahhaha Eveta Bonge white?nakuunganisha nae usijali nicheki DM nikupe number yake
 
Daaaa nakutafuta sana Agnetha Pambe...Rafiki tulikutana kwa Bus akitokea Tanga kwenda Arusha...kwa Safari ya Mwanza 2008.Aliniambia Kwao ni Nyakato /Buzuruga,Mwanza.Alitoka kusoma Ualimu Mkoani Tanga ...Kumbukumbu yako imekuwa ngumu kupotea.
Mkuu alikupa nn huyo dada siku hyo mpaka kumbukumbu iwe ngumu kupotea
Mtavunja ndoa za watu

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Feruzi!? Ni mwanamke kwa vipi? Au ulikuwa unamakengeza? Feruzi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…