*HOSTEL INAUZWA...*
Ipo Mbezi Ruguluni karibu na chuo cha St Joseph (1 km toka Hostel hadi chuoni)
Ina jumla ya vyumba 24
Vyumba 22 vina vyoo ndani (self contained rooms)
Vyumba 2 vina sebule na vyoo ndani (living & siting self contained rooms)
Kuna maji ya DAWASCO
Kuna kisima cha kisasa
Kuna tanki 2 za lita 10,000 kila moja za kuhifadhia maji
Kuna eneo la kulia chakula
Kuna eneo la kuegesha magari tisa
Imezungushiwa ukuta na geti
Kuna vizuia moto na vifaa vya kuzimia moto
Ipo kwenye eneo la ukubwa wa 667 sqm
*Bei Tshs 300,000,000/= (milioni mia tatu tu)*
Maongezi yapo...
Maelezo zaodi napicha nichek whatsapp
Sent using
Jamii Forums mobile app