Katika dunia ya sasa kila kitu miaka ya mbele kitakuwa kinaendeshwa kwa computer computer itakuwa inaambiwa ikifika muda flani fanya hichi inafanya binadamu itakuwa kazi yake ni kula kulala kunywa na kula raha za dunia.
learnjavaonline.org
Hili ndio tatizo la wabongo wengi!! do you think Java is a rocket science? kwa wenzetu watoto wa miaka 12 wanagonga C na C++ kwa kujifunza wenyewe achilia mbali hiyo Java ambayo wewe unadhani ni lazima mwalimu!!!java yahitaji mwalimu
Bora html waweza elewa mwenyewe
wewe kama wewe bila mwalimu umepiga language ngapi?Hili ndio tatizo la wabongo wengi!! do you think Java is a rocket science? kwa wenzetu watoto wa miaka 12 wanagonga C na C++ kwa kujifunza wenyewe achilia mbali hiyo Java ambayo wewe unadhani ni lazima mwalimu!!!
hao wakina C na C++ ni high levil programing langugesHili ndio tatizo la wabongo wengi!! do you think Java is a rocket science? kwa wenzetu watoto wa miaka 12 wanagonga C na C++ kwa kujifunza wenyewe achilia mbali hiyo Java ambayo wewe unadhani ni lazima mwalimu!!!
1. Javawewe kama wewe bila mwalimu umepiga language ngapi?
My idea sio kufananisha watoto wa kizungu na hawa wetu, nilitakak kukwambia unaweza soma Java na language ingine yeyote bila kuwa na mwalimu ...hao wakina C na C++ ni high levil programing languges
pia usome frameworks zake. kina Active x na wengine wengi.
watoto wa kibongo usiwafananishe na wakizungu
HTML sio programming language mkuu!Kati ya programing language rahisi kujifunza/kuitumia ukitoa HTML ni hii JAVA na PHP
Kama unajua Java then jua unajua c sharp na kotlin maana tofauti ni ndogo sana, sijaelewa unaposema java ni rahisi alafu unasema c sharp inahitaji akili nyingi una maanisha nini!!haziitaji akili nyingi sana kama C# au C.
Mhhh wiki tatu uwe umejifunza Java? naungana na wewe unaposema java sio ngumu ila sikubaliani na wewe unaposema unaweza ukajifunza java wiki tatu!!!Hii JAVA unaweza kujifunza ndani ya wiki tatu au mwezi ivi. ukitumia
Hapo juu nilikua naelezea tu kuhusu kupata concept ya basic 4 beginner tu!! Sijamaanisha 3wk uijue yote Complete. Kwel HTML sio PL lkn ipo vizur kwa mtu kuijua kama utajifunza PL, hata mm nilianza kuijua HTML ndo zikafata PL.HTML sio programming language mkuu!
Kama unajua Java then jua unajua c sharp na kotlin maana tofauti ni ndogo sana, sijaelewa unaposema java ni rahisi alafu unasema c sharp inahitaji akili nyingi una maanisha nini!!
Mhhh wiki tatu uwe umejifunza Java? naungana na wewe unaposema java sio ngumu ila sikubaliani na wewe unaposema unaweza ukajifunza java wiki tatu!!!
Nimekupata mkuu!!Hapo juu nilikua naelezea tu kuhusu kupata concept ya basic 4 beginner tu!! Sijamaanisha 3wk uijue yote Complete. Kwel HTML sio PL lkn ipo vizur kwa mtu kuijua kama utajifunza PL, hata mm nilianza kuijua HTML ndo zikafata PL.
yeap ni kweli but inategemea na uelewa wa mtuMy idea sio kufananisha watoto wa kizungu na hawa wetu, nilitakak kukwambia unaweza soma Java na language ingine yeyote bila kuwa na mwalimu ...
what is C+ and C++C + C++ C# ARE EVERYTHING
JUST KNOW THAT ,,,USIBISHE