mjasiri na mali
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 1,178
- 2,169
- Thread starter
- #1,501
hailipi boss..500K mkuu
hailipi boss..500K mkuu
Tunakosea wapi mpaka Unataka kuidhinisha tusogezwee Mirembe Boss?wakuu humu naona kuna watu wqnatakiwa wasogezwe hospital pendwa pale dodoma
Vitu yuzid mnauza bei ya dukaniTunakosea wapi mpaka Unataka kuidhinisha tusogezwee Mirembe Boss?
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
..Sawa bosi ndio utoe tiketi ya kutupeleka Mirembe Kweliii,Anyway Bei zinazungumzika Boss Kariibu sanaVitu yuzid mnauza bei ya dukani
pia ni vizuri kununua kusipo na gharama kama anaona huku gharama ziko juu kuliko kusema watu wapelekwe mirembe..😂😂😂..Sawa bosi ndio utoe tiketi ya kutupeleka Mirembe Kweliii,Anyway Bei zinazungumzika Boss Kariibu sana
ingawa ukweli huwezi kupata brands New dukani kwa bei tulizoweka.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
inaonekana unapenda 400k ...Sawa bosi ndio utoe tiketi ya kutupeleka Mirembe Kweliii,Anyway Bei zinazungumzika Boss Kariibu sana
ingawa ukweli huwezi kupata brands New dukani kwa bei tulizoweka.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
....Chief najua zipo kali na higher specs za laki tatu ila hii pc mali yangu halali gharama niliyonunulia miaka kadhaa iliyopita ni Tsh.1,300,000 as brand New...considering depriciation factor nimeishusha hadi laki nne,which is very reasonable price.na nakupa ikiwa loaded na softwares,books or movies it depends na interest yako.inaonekana unapenda 400k .
Shusha bei 300k nije hapo mabibo nifate hiyo pc
Hata mimi nashangaa...ila wanawapata hahahaVitu yuzid mnauza bei ya dukani
Nitafutie ninunue at keshoDah hii ata 80k inapatikana
Tunakosea wapi mpaka Unataka kuidhinisha tusogezwee Mirembe Boss?
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
bado ipo mkuups 4 slim ..pad 2 ...hdmi free....game 8 na fifa 22 ndani..
laki saba iwepo mfuko wa shati....
ipo mkuubado ipo mkuu
Wakuu laptop bado ipo,na kuuzwa ni lazima ....nilitee offer yako nikuachie hii laptop.ipo mkuu
Ikifika 500K nishtueps 4 slim ..pad 2 ...hdmi free....game 8 na fifa 22 ndani..
laki saba iwepo mfuko wa shati....
sawa mkuu..ukipata ya 500k nishtue na mimiIkifika 500K nishtue
250kWakuu laptop bado ipo,na kuuzwa ni lazima ....nilitee offer yako nikuachie hii laptop.