Ukienda kutoa copy ya kitambulisho cha uraia na wakakwambia imetoka bila rangi au wamekosea, usiziache hizo kopi, uondoke nazo hata kama haziko vizuri. Kwa sababu huwa wanaziuza kwa wezi na kuzitumia kutengeneza line mpya kwa majina yako na kufanyia uhalifu kitu ambacho kinaweza kukuletea kesi
Ujumbe huo umekamata headline kwenye mitandao ya kijamii.
Nafikiri kuna umuhimu wa kampuni za simu ziweke huduma mteja wa simu awe na uwezo wa kuangalia namba za simu zote zilizosajiliwa kwa jina lake.
Lete ushauri wako!