Uzee mwisho....!!?

cageclay naomba nijibu swali langu, mnasema uzee mwisho chalinze, na sisi ambao wakati tunakuja mjini hatukupitia chalinze jee uzee mwisho wapi? Wengine tumekuja na boti niambie uzee nilitakiwa niuache wapi? Na wale wa mikoa ya kusini jee?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa utafiti popote pale lakini umbali wake uwe sawa na chalinze
 
huyo ------- anatabsamu au anacheka
 
Uzee mwisho ni kwenye kizingiti cha mlango wa nyumbani kwako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…