mtanganyika asilia
Member
- Aug 27, 2014
- 15
- 5
modes wamelala wakiamka tu wataifuta hii thread sijui kwanini wanamchukia hivyo mzalendo na mbunge wa kibaha (2015) kubenea
Kweli kabisa
Magamba walitaka kumuua kwa kumwagia tindikali
Ni kweli maana ni Chadema damu.kubenea ni zaidi ya mwanaharakati...
Alafu tangu kipindi hicho tindikali imekuwa silaha maalufu, ni kama ilizinduliwa rasmi.