abdallahtase
Member
- Aug 20, 2013
- 37
- 17
Mambo mengi mabaya yanayotokea na ukosefu kushindwa kupiga hatua katika maendeleo kama nchi ukiwauliza viongozi wa taifa, Viongozi wa siasa, na wasomi utawasikia miongoni mwa sababu nyingi wanazozitoa moja wapo itakuwa ni kukosa Uzalendo na kuipenda nchi.
Uzalendo ni nini?, ni nani ana wajibu wa kujenga uzalendo kwa raia? Haya maswali yanakuja baada ya uhamasishaji ninaosikia JIULIZE UMEIFANYIA NINI TANZANIA na SIO TANZANIA IMEKUFANYIA NINI?
Kwenye kauli hii napenda niweke ufahamu wangu wazi kuwa kusudio la uzalendo katika kauli hii ni kuifanyia kazi nchi bila kujali nchi imekufanyia nini.
Kwa hakika ni vizuri kama wazalendo tujiulize maswali yote mawili, ili viongozi nao wasikwepe jukumu na kuweka mazingira ya wananchi kuipenda nchi yao.