Uzalendo kwanza

*Uzalendo wa kufuta ajira?
*Uzalendo wa kufuta fao la kujitoa?
*Uzalendo wa kuongezeka makato ya HELSB kutoka 8-15% pasipo makubaliano maalumu ya kisheria?
*Uzalendo wa kufuta nyongeza ya mshahara?
*Uzalendo wa kuwakadiria watu kwenye kodi?
 
Kwahiyo kufutwa fao la kujitoa na nyongeza ya mshahara ni uzalendo?
Shituka ww. Unatumiwa km condom
 
Kuna namna nashindwa kushare nawe what I know, kwasababu kuna namna umesha I tilt akili yako hutaki kuruhusu akili yako iwaze zaidi ya unayoambiwa
 
Umesahau kusema uzalendo haufundishwi bali huja wenyewe
 
joh. wewe kweli au?
kwa style hii rudi tu. uendee kutuletea magoma mapya. hapa hapakufai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…