Uzalendo kwa taifa ziwekwe kanuni za kuupima

krava

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
225
287
Naomba wajuvi wa mambo watupe kanuni zinazoweza kutuonyesha kwa usahihi kipimo cha uzalendo kwa taifa letu hata kama tunatofautiana mfano kuimba wimbo wa taifa kuweka bendera ya taifa kila darasa kuanzia vidudu mpk university picha ya rais na alama za taifa ila pia tuweze kuainisha kwa usahihi je uzalendo kwa taifa letu umepanda au umeshuka pia kama tunaweza kuainisha vielelezo vya kupanda au kushuka kwa uzalendo mfano uonevu wa polisi nk

Pia serikali ifanye kazi ikijua wananchi wanaipenda na kama wananchi wanachukizwa na jambo Fulani serikali ichukue hatua haraka tujue serikali haiwezi kuyumba maana ikiyumba cc wote kama taifa tutayumba

NB kila mwananchi anatakiwa kuilinda serikali maana ndio baba ndio mama nchi haipo kama haipo kama serikali haipo.
 
Kweli uzalendo kwa taifa umekufa hakuna hata mmoja aliyechangia huu uzi
 
Back
Top Bottom