Hi!
Kama jinsi ambavyo heading inajieleza, mimi ni mfanyabiashara wa Laptop USED.
Hivyo kama kuna mtu mwenye laptop used na anahitaji kuuza, then hii itakuwa fursa nzuri kwako kufanya biashara.
Katika ununuzi wangu wa Laptop, pamoja na mambo mengine, lakini ningeomba sana angalau Lapotop zenye sifa hizi ndio zitangazwe:
Hard Disk Drive iwe angalau 300 GB
Ram iwe angalau 2 GB
Processor iwe angalau 2 GHZ
Webcam - Yes
DVD ROM - Yes
Windows Operating System - Yes
Kwa upande wa brand ya Lapotop, iwe yoyote tu.
NOTE: Mimi ni mfanyabiashara, hivyo natarajia bei ya Laptop itakayokuwa offered iwe reasonable ili na mimi nipate faida huko nitakapo uza.
Thanks in advance.