UYU MWANAMKE SIMWELEW

kamata piga utamlaumu nani maisha umeyakosea mwenyewe.
 
Na kuna siku atakuja kuazima CD akiwa kama alivyozaliwa ili ujue ataka nini
Au akuambie huna kitu kinachoweza kuingia kwangu?
Hapo utajiju kula au kuacha
 
wengine wote wanaenda kazini ww unabaki umelala ndani unaangalia movie na wake za watu,fala kweli kaka yako anatafta ww umekaa ndani kazi kutamani wake za watu.kwani mtaani wadada wameisha hadi utamani mke wa mtu?
 
wengine wote wanaenda kazini ww unabaki umelala ndani unaangalia movie na wake za watu,fala kweli kaka yako anatafta ww umekaa ndani kazi kutamani wake za watu.kwani mtaani wadada wameisha hadi utamani mke wa mtu?
jamaa hakuwa na haja ya kuniita fala inakusaidia nn wanaume hatutukan mzebaba.labda nkutoe tongotongo kwa sbb umeavamia mada bila kuelewa.umesema wengne wanaenda kaz m nalala,umesema tena bro anatafta we umekaa ndan(unajua mana ya kutembea au kutembea kwa kutafta kaz??,).wapi nmeandka naangalia muvi na wake za watu.wapi nmeandka nmetaman mke wa mtu(pengne unataka kusema tangu ubalehe hujawah kutaman). UELEWA KITU MHIMU SANA
 
Hata mimi nilishaleta uzi unaofanana na wako niliishia kutukanwa kwahiyo namimi nalipizia kwako.
 
1. Wewe ni mgeni hapo kwa kaka yako
2. Kaka yako na wapangaji wengine wa hapo wana kawaida ya kwenda kazini kitu kinacho7bisha kubaki wewe na yeye tu.
3. Huyo dada ana kawaida ya kuazima CD.
Maswali yangu yako hapa:
- Kabla ya wewe kuja huyo dada alikua anabaki na nani?
- Kabla ya wewe kuja huyo dada alikuwa na kawaida ya kuomba CD kwa nani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…