Uyoga unapatikana wa bei rahisi

Uyoga unapatikana wa bei rahisi

Eliamini

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
618
Reaction score
744
Habari yenu wana JF.

Mimi ni mjasiriamali mdogo ambae najishughulisha na kilimo cha uyoga hapa Dar es Salaam Kigamboni, kwa wenye mahitaji ya uyoga wanaweza wasiliana nami kwa simu namba 0657868981 bei ya kg1 ni sh 10,000.

Delivering inafanyika.
 
Uyoga ni mbichi kabisa i mean fresh toka shamba
 
Back
Top Bottom