Wadada wa maana wanapatikana hivyo ,hivi unataka kuniambia mtu anapokuapproach anakuuliza sasa vipi ? Yaani direct anakwambia ,naona kama mna matatizo ,hivi umekutwa kwenye danguro iwe unavutwa mkono tu au unaitwa njoo ! Wacheni mikwala eti siku hizi haihitaji kutongoza ,ni kweli haihitajii kama unawafuata wanaojipanga balabalani ,ila kwa wenye msimamo inabidi uwaanzie mbali sana !