Uwongo wa Kutongozea

kwa hiki kizazi cha dot com utavaa style zote, utatembea style zote na kumwaga mashairi ya kusifia, ukweli uko palepale pesa kwanza ndio kivutio nani anataka misifa

Bora umesema kweli
 
kajifunze kuandika kwanza pwoint ndo nini? Alafu kwa maandishi yako tu tongozo ujui pia,alafu Kakuambia nani ukimsifia mwanamke analainika,sie wengine ukisifia twatoka nduki!

mbona wewe mwenyewe unaandika hovyo?
 
Hahahahahaha Mie na kusifiwa tofauti,wee kama umenipenda funguka sio waanza misifa mara ooooh una umbo kama NIKIMINAJ wakati najua sina nakutoa nduki
Umeona eei ! Sasa huko kufunguka si ndio huko ! Yaani nikwambie Dada nakupenda ! hih ! Nimekukuta gesti ?
 
kwa hiki kizazi cha dot com utavaa style zote, utatembea style zote na kumwaga mashairi ya kusifia, ukweli uko palepale pesa kwanza ndio kivutio nani anataka misifa
Money can not buy love ! Lakini maneno yanaweza kununua mapenzi !Hiyo hela huwa wanaoiulizia ni vile vichangu doa ,hawa wakikuona hauna hela wala huwaoni tena wanakustukia na mapema ila kama unawapenda na utawahitaji basi mistari tu inatosha hela wataisahau ,utamsikia mi sipendi ela zako ,we wacha tu wanasema maneno mazuri yanamtoa nyoka pangoni ,sasa hiyo kumtoa nyoka pangoni ,unamkuta mdad ana hela kushinda wewe ,vihela vyako vinasinyaa ,baada ya mdada kujiumauma unajiumauma wewe !
 
kajifunze kuandika kwanza pwoint ndo nini? Alafu kwa maandishi yako tu tongozo ujui pia,alafu Kakuambia nani ukimsifia mwanamke analainika,sie wengine ukisifia twatoka nduki!

Aaaaaaahhhh...
Ukija kukutana na mimi mitaani nakupondaaaa najua utanigandaaa
 
hongera mkuu una nyota ya ukimwi

Ukimwi tu mi haunitishi yaani ndani ya miaka 30..umeua watu ml 50....labda uniambie SPANISH FLU, BLACK DEATH na EBOLA hapo sawa....ukimwi ukipata Leo unakufa baada ya miaka 10.
 
Ukimwi tu mi haunitishi yaani ndani ya miaka 30..umeua watu ml 50....labda uniambie SPANISH FLU, BLACK DEATH na EBOLA hapo sawa....ukimwi ukipata Leo unakufa baada ya miaka 10.

hivi nimekutisha au nimekupa hongera ?
 
Ukishamvutia mwanamke ile kakuona tu....the frst aproach yako kwake ushampata uyo...ile kuongea huwaga nikukamilisha tu mambo....lakini akisha kukubali ulivo...ukimsifia anafurah zaid....ila akiwa hajakukubali msifie uone jibu lake...aseee
 
Sasa hilo jibu ndio hilo linaloendeleza tongozo ,yaani hapo kijeshi tunapaita maneuver ,hapo ndio unatoa mstari au mistari mpaka anakujibu nilikuwa sijakuelewa ,labda akikwambia naenda kukusemea kwenu ,itabidi umuombe razi !
 
Kuna mtu ninaona katishwa kuwa exposed ID yake kaamua kukimbia kabisa... Kweli nimeamini kuna wakina dada huku wana mashauzi ya ajabu sana
 
Mnaojidanganya hivyo hampati wadada wa maana, mdada mwenye akili zake hamkubali mwanaume anayekuja na sound za kijinga kama hizo......pole
 
kwani siku hizi kuna kutongozana? mi mpaka uanze kunambia uo ujinga ujinga ujue sikutaki na wala sikupendi..... ila nikikupenda hata kutongozana hakupo, unajikuta automatically tunaitana baby, hun, boo... etc. mwishowe mambo yanakuwa mambo
 
Duh ! huna soko ni mama huluma ndie mwenye tabia hizo ,kama kutongoza leo imekuwa ujinga ,basi wanawake ni wa kushika mkona ukaingia nae kichocholoni tu ?

Na mimi janajike lisilohitaji kutongozwa naliepuka na kulikimbia vibaya sana ! Napenda ufahamu tu hapo usiponitaka na usiponipenda ndio hapo panapohitajika ili ulainishwe moyo wako na kuanza kubadilika hisia kuelekea kwenye hisia zingine !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…