Uwongo wa Kutongozea

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Sijawahi kuona mtoto wa kike aliependeza kama wewe. Hapo mdada anazugika na kuamini kuwa ni yeye tu.

Naamini wengine hapa ukiwasifu avatar zao tu unaweza ukawachanganya akili ,maana wameziweka eti waonekane warembo ,ila kusema kweli wote wameweka avatar za kunipelekesha moyo wangu mbio, wanavutia si haba.

Okay the main pwoint ni kuhusu maneno ya kuwachanganya akili wadada, kuna mistari huwalegeza ikayababaisha macho yao ,na hapo hujiona ndio yeye tu katika dunia hii anaependwa.

Hivi wadada mnapotongozwa inakuwaje mpaka mnakubali? Unaingiajeingiaje kwenye kamba za maneno? Msiniambie kuwa mambo mkiyataka na hilo kukupelekea kulikubali kila unaloambiwa ,yaani hata ukihoji unapata jibu linalopendeza ambalo linazidi kukulainisha kuyakubali maombi ,mwisho ukiambiwa haya twende basi unakuwa kama msukule.

Siwaelewi, nikukwambia embu simama kidogo unasita sita kisha unasimama,something like that.
 
Aliekwambia ukinisifu nafurahi ni nani? kwanza naona kama mnafiki Fulani hivi. Labda wengine maana tunatofautiana. Yaani nijipendezeshe mwenyewe kwa gharama zangu afu uniambie nimependeza nizugike? OMG.
 
Acha mashauz, mimi nakufahamu wewe, bora unyamaze tu, bisha nifunguke hapa hapa live

Aliekwambia ukinisifu nafurahi ni nani? kwanza naona kama mnafiki Fulani hivi. Labda wengine maana tunatofautiana. Yaani nijipendezeshe mwenyewe kwa gharama zangu afu uniambie nimependeza nizugike? OMG.
 
una uhakika sjawahi kukudanganya, au nikpm harafu ukumbuke?..


Aliekwambia ukinisifu nafurahi ni nani? kwanza naona kama mnafiki Fulani hivi. Labda wengine maana tunatofautiana. Yaani nijipendezeshe mwenyewe kwa gharama zangu afu uniambie nimependeza nizugike? OMG.
 

beatiful girls think they are ugly and ugly girls think they are beatiful
 
Aliekwambia ukinisifu nafurahi ni nani? kwanza naona kama mnafiki Fulani hivi. Labda wengine maana tunatofautiana. Yaani nijipendezeshe mwenyewe kwa gharama zangu afu uniambie nimependeza nizugike? OMG.
Ucniambia ukisifiwa unachukia ? unaniona kama mnafiki ,cjui kwa nini ?mbona mimi sikuoni hivyo ? At first sight unaniona hivyo ila sivyo nilivyo ,ungejua nilivyo ,najiaminisha kwako kuwa usingizi usingeupata ,ila ndio hivyo hatujuani.Hivi nikikwambia umependeza utajibu kitu gani ?Gear za kuondokea hizoh ! Na mtu huzugika na chake kwanza ,si watu wameimba kioo kimemcheza.
 
kajifunze kuandika kwanza pwoint ndo nini? Alafu kwa maandishi yako tu tongozo ujui pia,alafu Kakuambia nani ukimsifia mwanamke analainika,sie wengine ukisifia twatoka nduki!
 
kajifunze kuandika kwanza pwoint ndo nini? Alafu kwa maandishi yako tu tongozo ujui pia,alafu Kakuambia nani ukimsifia mwanamke analainika,sie wengine ukisifia twatoka nduki!
Basi aina yako nawaita digidigi mnakuwa waoga ile mbaya hata cijui maogopa nini ,kuna system yenu huwa inatumika..kuwaendea mbio ,kuna mtu humu MMU amedai alimfuatia mdada mmoja kwa muda wa miaka mitatu ,sasa kama wewe unatoka nduki ,ni very simple ,bila ya shaka utakuwa una kitu unakipenda ,hicho nitakuwa natembea nacho ,chambo !
 
Hahahahahaha Mie na kusifiwa tofauti,wee kama umenipenda funguka sio waanza misifa mara ooooh una umbo kama NIKIMINAJ wakati najua sina nakutoa nduki
 
Mie domo zege nilikuwa napata tabu sana nilipokuwa secondali....siku izi nawaangaliaga machoni tu..wenyewe wanalegea Pichu zinalowa.
 
Hahahahahaha Mie na kusifiwa tofauti,wee kama umenipenda funguka sio waanza misifa mara ooooh una umbo kama NIKIMINAJ wakati najua sina nakutoa nduki

hivi nikki minaj ndio ana umbo zuri ?
 
Aliekwambia ukinisifu nafurahi ni nani? kwanza naona kama mnafiki Fulani hivi. Labda wengine maana tunatofautiana. Yaani nijipendezeshe mwenyewe kwa gharama zangu afu uniambie nimependeza nizugike? OMG.

tena wasizoee unatakiwa umsifu mtu kama umemnunulia wewe.
 
Mie domo zege nilikuwa napata tabu sana nilipokuwa secondali....siku izi nawaangaliaga machoni tu..wenyewe wanalegea Pichu zinalowa.

kwa hiki kizazi cha dot com utavaa style zote, utatembea style zote na kumwaga mashairi ya kusifia, ukweli uko palepale pesa kwanza ndio kivutio nani anataka misifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…