Uwongo Unanitokea Puani

Waambie akina Nape wakutumie buku saba yako kwa Mpesa usije kufa njaa hapo.
 

Sasa kwanini unatoa mfano kwa kumgusa dk huoni kuwa ni uchokozi huo?, lkn siku zote twa wambia mkizifata dini zenu vyema, waaala hamuwezi kuwa watu wa deal!!, umeyataka mwenyewe, hata nauli huna!!
 
mtafute mwenzio huyo
 
Tatizo ni sisiem imetufundisha uongo
 
Usikute hata hii stori ni uongo pia!
Manake waongo huwa si wa kuwaamini kwa neno lolote.
 
Sio wewe tu utaumbuka mwaka huu ni pamoja na chama chako watanzania tumechoka na uongo
 
Ukiacha kushabikia CCM utakuwa mkweli kwako na kwa wenzako
 
Vijana wengi hawandelei katika biashara sababu ya kuendekeza ubinafsi.
Kwa maelezo ya mwenzetu huyu, alitaka kumdhulumu mwenziwe ili kwa ubinafsi wake afaidike mwenyewe badala ya kufaidika wote wawili na mwenziwe.

Sasa hapo hakuna misingi ya ukweli na uwazi katikaushirikiano.
Na kama kungekuwa na dili kubwa sana si ajabu kumtoa roho mwenziwe ii afaidike binafsi.

Kutaka ushauri haa ni kujidanganya maana roho mbaya ni kuiombea irudi kwmenye misingi ya kibinadamu, Mpende Jirani Yako kama unvyojipenda mwenyewe.
 
Lakini mzee 'P' wewe si unasali kwa nabii flora? Umehamia lini kwa maparoko tena? Au nabii flora siku hizi ana maparoko?


 
Ndo mana unaitetea sana fisiem kumbe ndo mambo yako hayaaa eeh
 
Usihofu, nenda ofisi ya chama hapo wanatoa misaada midogomidogo huwezi kosa nauli!
 
Cha kwanza kabisa uache ushoga na umbea
 

Wewe ni mwana ccm hofu ya nini kama UKAWA? Nenda kwenye ofisi zao watakupa bulungutu la pesa na soo yote iishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…