GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,415
- 127,506
Mh! kaaazi kweli kweli! Muibukie tu uue so na umshirikishe tu sasa maana hamna namna tena.
ha ha ha jitose
simu haina kosa ila wewe mtumiaji ndiyo unaitumia kimakosa .. pole sana aiseeeNaona Aibu Sana Dada Yangu Mpendwa Miss Chagga. Leo Ujanja Wangu Wote Umeniishia! Naahidi Kwa Mungu Kuwa SITAONGOPA Tena. Hivi Huyu ALIYETUTENGENEZEA Hizi Simu Alikuwa Na Nia Nzuri Na Sisi Kweli? Hata Simu Nayo Nawaza KUITUPA au KUTOITUMIA Tena Kwani IMENICHUMIA Dhambi Leo.
Cha muhimu hapo wewe nipm mimi hiyo deal nimfuate huyo boss kwa maana nipo Dodoma
halafu hiyo deal mkose wote wewe na jamaa
ila mimi nitakusaidia nauli ya kurudi dar kwa masharti kadhaa
simu haina kosa ila wewe mtumiaji ndiyo unaitumia kimakosa .. pole sana aiseee
lowasa akiingia matatizo yote yataisha hautakuwa na wasiwasi wa vidili vidogo km hivyo
Duu hapo ushalikoroga nenda tu mkaonane
Story nyingine bana.
Yaani unaenda kupiga dili ndefu wakati huna nauli ya kurudi. Paukwa pakawa.
cc BADILI TABIA
Mkutane tu muyamalize.