Ipo na inatokea sana,malalamiko lukuki!!!!
Maswali ya da Kaunga ni mujarabu
Kuongezea tu hapo kuna utayari wa kiakili, wengine wanaita stimu,psychological commitment,usafi! !!!
Kutokuendana ni matokeo lazima kuna chanzo/vyanzo!!!!!

Ewaaa!hapa nahisi ni sababu kubwa kuna mda unataka tu mwenzio amalize basi
Can you be a little specific?
Kutoendana kitandani unamaanisha nini?
1. Nguvu ya mchezo?
2. Mahitaji/hamu ya mchezo?
3. Size ya viungo vya mchezo?
4. Style/namna/beats za mchezo?
au?
Maana kwa maoni yangu kila kimoja kati ya vina athari (-&+) tofauti.
Yaani nakupenda sana .... u seem to know women! Mkeo kapata mume wallah
hapa nahisi ni sababu kubwa kuna mda unataka tu mwenzio amalize basi
Nikikugundua unazuga fasta nahamia cocoa butter bora unambie mapema kuwa huna mzuka ili nijue mapema kuwa hapa nakunywa juice ya kiwandani yenye artificial flavour ya tunda
Ewaaa!
Yani kule kule bishosti!
Dada @Kaunga njoo huku. Yani unakuta mlikuwa wote ghafla mdada ndo anafikia hapa na mmeanza vizuri tu. Yani bora liende afadhali kufika
amekwambia leo sina mzuka,na we unasema unahitaji sasa hapo anafanyaje!!!!!!!
ndio maana mtu anakuacha uendelee kula,ye kazi yake kuhesabu magoli tu...,