hitler2006 JF-Expert Member Joined Sep 1, 2014 Posts 489 Reaction score 457 Apr 6, 2015 #1 Nimekuwa namsikiliza huyu jamaa kwa muda sasa lakini nimepata wasiwasi na uwezo wake wa kuchambua mambo na pia elimu yake.
Nimekuwa namsikiliza huyu jamaa kwa muda sasa lakini nimepata wasiwasi na uwezo wake wa kuchambua mambo na pia elimu yake.
kabugira JF-Expert Member Joined May 14, 2014 Posts 1,186 Reaction score 659 Apr 6, 2015 #2 hitler2006 said: Nimekuwa namsikiliza huyu jamaa kwa muda sasa lakini nimepata wasiwasi na uwezo wake wa kuchambua mambona pia elimu yake Click to expand... Ngoja waliosoma naye waje!
hitler2006 said: Nimekuwa namsikiliza huyu jamaa kwa muda sasa lakini nimepata wasiwasi na uwezo wake wa kuchambua mambona pia elimu yake Click to expand... Ngoja waliosoma naye waje!
jembe afrika JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 7,602 Reaction score 3,781 Apr 6, 2015 #3 Mi huwa namuona hewa tu
wakikosi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2015 Posts 1,354 Reaction score 1,493 Apr 6, 2015 #4 Mi namuona Jamaa anaweza sana kudadavua maswala mbalimbali kwa kipaj alichopatiwa na Mungu wake
D Dafugwadu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,734 Reaction score 5,249 Apr 6, 2015 #5 Weka picha hebu.
concious mind JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 1,031 Reaction score 668 Apr 6, 2015 #6 Kama kipindi hukielewi achana nacho ndo maana kuna itv, eatv, tbc, tbc2......... Au kama unakipenda sana pale kwenye maoni na ushauri ndo penyewe.
Kama kipindi hukielewi achana nacho ndo maana kuna itv, eatv, tbc, tbc2......... Au kama unakipenda sana pale kwenye maoni na ushauri ndo penyewe.
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,896 Apr 6, 2015 #7 hitler2006 said: Nimekuwa namsikiliza huyu jamaa kwa muda sasa lakini nimepata wasiwasi na uwezo wake wa kuchambua mambona pia elimu yake Click to expand... Alisema nini kwenye ishu gani na lini au unataka tuotee?..kumjadili mtu kwa swala lisiloeleweka ni sawa na umbea!
hitler2006 said: Nimekuwa namsikiliza huyu jamaa kwa muda sasa lakini nimepata wasiwasi na uwezo wake wa kuchambua mambona pia elimu yake Click to expand... Alisema nini kwenye ishu gani na lini au unataka tuotee?..kumjadili mtu kwa swala lisiloeleweka ni sawa na umbea!
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,023 Reaction score 36,888 Apr 6, 2015 #8 Kwenye Elimu usifikehuko ushauri
Jaslaws JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 6,016 Reaction score 5,300 Apr 6, 2015 #9 Angebaki na kipindi chake cha uswazi tu maana akimudu sana.
salimkabora JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 2,441 Reaction score 653 Apr 6, 2015 #10 Master plan said: Weka picha hebu. Click to expand... Ndiye huyo JAY millions
hitler2006 JF-Expert Member Joined Sep 1, 2014 Posts 489 Reaction score 457 Apr 6, 2015 Thread starter #11 kuna watu wanahemka!zembwela hujadili mada kwa mitazamo ya kijiweni zaidi hakuna cha maana anachofanya
kuna watu wanahemka!zembwela hujadili mada kwa mitazamo ya kijiweni zaidi hakuna cha maana anachofanya
kende JF-Expert Member Joined Dec 2, 2013 Posts 3,527 Reaction score 1,669 Apr 6, 2015 #12 kakutouch nini? Muhurumie jamaa, anafanya kazi 2 kwa wakati mmoja (kukuelimisha na kukuchekesha) we ungeweza?
kakutouch nini? Muhurumie jamaa, anafanya kazi 2 kwa wakati mmoja (kukuelimisha na kukuchekesha) we ungeweza?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 Apr 6, 2015 #13 Jamaa ni CCM sana
hitler2006 JF-Expert Member Joined Sep 1, 2014 Posts 489 Reaction score 457 Apr 6, 2015 Thread starter #14 at least nimetoa dukuduku langu!make anaimpact kubwa kwenye jamii anayoongea lazima yawe na mashiko,si hami sitesheni.
at least nimetoa dukuduku langu!make anaimpact kubwa kwenye jamii anayoongea lazima yawe na mashiko,si hami sitesheni.
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 24,940 Reaction score 26,796 Apr 6, 2015 #15 Halafu hawezi kutamka vizuri maneno, sijui mate huwa yanamjaa mdomoni!
M MAPIKIPIKI Member Joined Apr 27, 2011 Posts 46 Reaction score 12 Apr 6, 2015 #16 Kama kitabu haukielewi basi jua haukuandikiwa wewe!!! Tafakali ndugu watu wanamuelewa sana huyo jamaa Zembwela au Hilary Daudi Mtuta
Kama kitabu haukielewi basi jua haukuandikiwa wewe!!! Tafakali ndugu watu wanamuelewa sana huyo jamaa Zembwela au Hilary Daudi Mtuta
Ndumbayeye JF-Expert Member Joined Jan 31, 2009 Posts 7,420 Reaction score 4,032 Apr 6, 2015 #17 wewe unataka kila kitu kifanywe na maprofesa?
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,257 Apr 6, 2015 #18 Jamaa ana kipaji cha kuongea licha ya elimu yake ndogo, ila pia ni bange mtu...kwake ni bora akose msosi lakini sio jani!
Jamaa ana kipaji cha kuongea licha ya elimu yake ndogo, ila pia ni bange mtu...kwake ni bora akose msosi lakini sio jani!
specialist88 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 1,140 Reaction score 619 Apr 6, 2015 #19 Bujibuji said: Jamaa ni CCM sana Click to expand... Naunga mkono hoja.......ni gamba sana,anaweza akakandia wapinzani mpaka ukajiuliza ametumwa au nini?!!!!
Bujibuji said: Jamaa ni CCM sana Click to expand... Naunga mkono hoja.......ni gamba sana,anaweza akakandia wapinzani mpaka ukajiuliza ametumwa au nini?!!!!
hitler2006 JF-Expert Member Joined Sep 1, 2014 Posts 489 Reaction score 457 Apr 6, 2015 Thread starter #20 kitabu kisipoeleweka muandishi huenda akawa na mapungufu especially CONTENT&style ya kudeliver message
kitabu kisipoeleweka muandishi huenda akawa na mapungufu especially CONTENT&style ya kudeliver message