Body exercise and meal balance ni vitu muhimu, kuna mdingi anaishi jirani na hapa nilipo ana kama nyundo 60 hv, lkn kuna bar maid mmoja alijirengesha katupa mchapo kwamba yule mzee acha, alimfunga kama goli 5 hv na gemu akataka kuendelea. Binti wa watu akasema baaasi. Huyu mzee kaka kila asubuhi ni jogging tu, nina mwaka wa nne hapa kitaa, sijawahi kumuona akiacha kufanya mazoezi, kaka tuzingatie mazoezi na msosi hasa wanga na mbogamboga,