Uwezekano wakubadili faculty | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uwezekano wakubadili faculty

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Toxty, Sep 21, 2012.

 1. T

  Toxty Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wakuu naombeni ushauri juu ya hili, mimi nimechaguliwa Bachelor of Arts in Public relations and Advertising pale UDSM ila sasa baada ya muda nimeshauriwa na watu wa nyumbani ni badili nichukue Bachelor of Arts in Geography and Eenvironmental Studies hapo hapo UDSM pia so mawazo yenu kwa kuangalia soko la BA/PRA na BA/GES massda wakuu
   
 2. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mkuu follow ur heart..
   
 3. T

  Toxty Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ni kweli mkuu ahsante kwa ushauri
   
 4. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mkuu haubadili faculty ila ni course ndo unayotaka change,anyways inawezekana ila it takes some time
   
 5. U

  Ulamaa Hemed Senior Member

  #5
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Angalia uwezo wako na maslahi yapo wapi baada ya kumaliza masomo
   
 6. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  kwani kati ya hizo unapenda ipi???
   
 7. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  AKILI kumkichwa hayo ni maisha yako na sio ya ndugu zako,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
   
 8. T

  Toxty Member

  #8
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Sawa wakuu nimewaelewa swala ni la course ahsante kwa kunisahihisha that's y we're Great Thinkers bt hata mimi nimeamua kubadili kwakuwa nimetokea kuipenda BAGE
   
Loading...