The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,911
- 2,891
kutokana na kashfa kubwa za upotevu wa makontena bandarini naliona bunge likiunda kamati teule kuchunguza undani wa jambo hili bila shaka hiyo kamati teule haitawaacha baadhi ya waliokuwa mawaziri kunako serikali ya awamu ya nne ambao baadhi yao pia wameteuliwa awamu ya tano