Uwezekano wa kubadili kozi Chuoni

Uwezekano wa kubadili kozi Chuoni

Joined
Aug 20, 2020
Posts
57
Reaction score
145
Wakuu habari zenu,

Naomba kuuliza kuwa je kunauwezekano wa mtu kubadilisha kozi akiwa chuoni hasa baada ya kuchaguliwa kozi ambayo hakuipa priority..je kitu hicho kinawezekana!!!
 
Wakuu habari zenu,

Naomba kuuliza kuwa je kunauwezekano wa mtu kubadilisha kozi akiwa chuoni hasa baada ya kuchaguliwa kozi ambayo hakuipa priority..je kitu hicho kinawezekana!!!
Ndio inawezekana as long as utakuwa umekidhi vigezo vya programme unayotaka kuhamia pia kama hiyo programme ina nafasi bado
 
Inawezekana dogo usijali. Kuna dogo alihama tokea computer science to Civila water resource engineering. Na muda huu anakula mpunga wake
 
Back
Top Bottom