Uwepo wa ****** (JK) kila weekend ndani ya hotel yake ya Bilila inamaanisha nini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uwepo wa ****** (JK) kila weekend ndani ya hotel yake ya Bilila inamaanisha nini??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, Jun 27, 2012.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hbr nilizozipata ni kwamb hakika ****** wetu (JK) kila mwisho wa week lazima atie nanga ndani ya Bilila Hotel Serengeti.

  Je? Ndio tetesi ya kwmb yuko mbioni kumega sehemu ya hifadhi kwa wahisani??

  Kama kuna mwenye uwerevu zaidi na hili atujuze wajamen!
   
 2. Deo Corleone

  Deo Corleone JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 14,669
  Likes Received: 2,544
  Trophy Points: 280
  ngoja nioshe kwanza vyombo nitarudi, sijjaoa mie!
   
 3. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  acheni kupotosha ukweli.......anaenda huko kwa njia gani every week
   
 4. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  anatumia vitz kama yako..
   
 5. baghozed

  baghozed JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 515
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Duh,JK Ana kazi nzito
   
 6. k

  kindafu JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  Kuna wakati nilitembelea pale Ngurdoto Lodge nikaonyeshwa Villa yake maalum ambayo hata utoe pesa ngapi hawakukupangishi ni mpaka Uongozi uthibitishe kuwa JK yuko nje ya nchi!! Jamaa anaingizana pale wakati wowote so long as yuko Nchini! Sishangai kama siku hizi kahamia viwanja vya Billa!!! Ndo Rais wetu mazee!!
   
 7. M

  Moony JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mwacheni jamani mmezidi kuzua....
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  How important is your question buddy!
   
 9. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Umbeya madume mazima migubegube
   
 10. paty

  paty JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  ntarudi
   
 11. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha ha!!!!!
   
 12. J

  JF2050 JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 2,086
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa pasua kichwa, ni kama vile anafanya vimbwenga makusudi ili kutuchanganya sie raia.
   
 13. P

  PMS Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  waongo mshikaji hausiki na hiyo hotel. Ulizeni mpewe data na wala si kupotoshaumma
   
 14. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Huu ni uzushi unaoipunguzia JF heshima yake; ungesema kila weekend mkweree yuko nyumbani kwake Msoga ningekuelewa lakini hilo la BILILA kila weekend ni uongo mzito!!
   
 15. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jf inaanza kufulia kwa habari za kizushi nitasepa karibuni ukisoma habari nane amini moja saba waachie wenyewe ni blog inayoelemea zaidi uchochezi wa vurugu na si wa kuleta maendeleo.
   
 16. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,119
  Likes Received: 1,746
  Trophy Points: 280
  Hujalazimishwa ku'comment wala kuingia humu jamvini..by the way vipi matokeo ya jana EURO?
   
 17. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Tufahamishe basi mwenye umiliki wa lile hotel la fivestar Mkuu!
   
 18. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Cheki unavyotoa mapovu utafikiri ndio umetoka kule kunani.
  Shika adabu yako mkononi Mkuu!
   
 19. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #19
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Ila kwa hakika ndio sasa amedhihirishia wanainchi UDHAIFU wake kiutendaji!

  Hivi ana safari ya ngapi juu ya anga kwa tabibu ya hapa jamvini?
  Maana nasikia yupo safarini.
   
 20. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  JK ni kijiwe tu cha kupga stor na masela wake.......
  Kwan ww huna kijiwe chochote?

  T.I.T (This Is Tanzania)
   
Loading...