Kiongozi mmoja katika hotuba zake alipenda kuelimisha. Katika moja ya hotuba yake alisema hawezi kuuliwa na mtu! Isipokuwa anayeweza kufanya hivyo lazima awe mwendawazimu. Je anayefanya au wanaofanya haya matukio hapa nchini kwetu, ya utekaji na kuuwa watu ni wendawazimu?