Leo katika pita pita zangu manispaa ya singida kwenye kijiwe cha kahawa nimekuta wazee wa kiswahili wanabishana kuhusu nani anafaa kuwa raisi Tanzania kupitia ccm wakitaja wafuatao sitta, ,rowassa ;nchemba,makamba,membe;wasira; magufuri , kigwangara ,pinda,nyalandu,makamba,chenge,h.mwiny i,rostam',lukuvi,migiro,tibaijuka,bilali,ngereja,kinana., Wengine wakidai Nkapa aludi . Katika hii list kuna afadhari au ni kundi la kifo?