impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,734
- 7,609
Leo katika pita pita zangu manispaa ya Singida kwenye kijiwe cha kahawa nimekuta wazee wa Kiswahili wanabishana kuhusu nani anafaa kuwa raisi Tanzania kupitia CCM wakitaja wafuatao Sitta, Lowassa; Nchemba, Makamba, Membe; Wasira; Magufuli, kigwangala, pinda, Nyalandu, Makamba, Chenge, H.Mwinyi, Rostam', Lukuvi, Migiro, Tibaijuka, Bilali, Ngereja, Kinana., Wengine wakidai Nkapa arudi. Katika hii list kuna afadhali au ni kundi la kifo?