Biashara za namna hio hua hata hazichukui muda mrefu zinajifia zenyewe.Mtu anawekeza pesa yake kwenye biashara anayoiona inafaa kumlipa faida.Sasa Chakushangaza anabeba jamaa zake kutoka kijijini eti waje kusimamia biashara zake wakati hata lugha ya biashara hawajui .Huu ni uwekezaji wa kishamba kabisa
TRUEBiashara za namna hio hua hata hazichukui muda mrefu zinajifia zenyewe.