Uwekezaji Tanzania

Uwekezaji Tanzania

Edson Ndile

Member
Joined
Sep 14, 2014
Posts
21
Reaction score
3
Miaka ya nyuma Mwalimu baba taifa J.K Nyerere aliwahi kufukiza wawekezaji wote wa kutoka India (Hindus investors)
Baada ya kungatuka madarakani walirudi tena Tanzania.

Ndugu zangu wanajamii; katika uchunguzi niliofanya inaonekana kuwa sector zote ambazo zinaendeshw na wahindi mi za kifisadi kupindukia.

Mifano michache tu naitoa kwenu hasa tukianzia na Sector ya:
IPTL & PAC ikiwa chini ya singa Seth hivi karibuni imefisadi pesa Nyingi za kitanzania bil.300.

Mtibwa sugar kila mara watendaji kazi wanalalamika.

Mpm (Mufindi paper mills) chino ya singa Rai Mpaka Leo wafanyakazi hawajalipwa malipo yao.

Hizi ni chache sasa sijui sector zingine.

Je? Ndugu zangu naomba maoni yenu hawa watu wapo kwa ajili ya kubomoa nchi yetu au kutafuta sehemu ya ajira zao.

Na kama wanafuata sera za uwekezaji mbona wazawa tunanyanyasika na hizi sector ambazo ziko chini ya wahindi.

Mimi kwa mtazamo wangu sion haja ya hawa watu kuwekeza hapa nchini kwetu.
 
Hakuna watu mafisadi na waabuduo rushwa km wahindi

Kwao serikali yetu imekua kichaka cha biashara zao haramu maana wtz ni wapenda rushwa

Wameharibu kila sector...si elimu,biashara, makampuni.....

Wazawa wananyanyasika kutokana na ubaguzi,dharau,mishahara kdg,udhalilishaji na utapeli

Ila yote yana mwisho iko siku ndg zetu mtafuta machozi na kupumua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom