Uwekezaji Msasani mwisho

Dalali wa Mjini

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2024
Posts
1,074
Reaction score
1,564
Habari maboss

Nyumba ya Zamani inauzwa msasani mwisho. Nyumba inatazama barabara ya mtaa.

Mtaa wa pili kutoka BAHARINI

Sqm 425
Document offer ya Kazi
BIlion 1

KWA hitaji la kuona eneo
Nipigie simu nikupeleke ukazungumze na wahusika wakuu.
0754693556
 
Ungemwambia mtu miaka ile ya wazee wetu wakinunua viwanja kwa style ya kurusha jiwe litakapofika ndiyo utalipa Tsh 700/= yako kwamba kuna siku uwanja wenye sq 425 utauzwa billion moja angekupiga makofi.
 
Bila Shaka mkuu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…