Uwapi bro Ben Rabiu Saanane

Uwapi bro Ben Rabiu Saanane

Duh, Mkuu Dizzo, sante kwa bandiko hili, Ben Saanane ni mmoja wa makada wa Chadema aliyenielewa, hii barua yake ni I cut 'n' paste kwa kubadili tuu majina, kisha nitaiwasilisha mahali na majina mengine.
Twenzetuni
P
Kama unamaanisha ulichoandika basi kila laheri.
 
Huna jipya, cahdema Rombo imefanya nini ten years? Wewe rudi ukaitumikie serikali iliyokusomesha kwanza achana na siasa tangu umezaliwa upo shuleni unakula fedha za walipa kodi hujui maisha ya uraiani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo ya kijinga haya, Ccm imeongoza majimbo kibao tangu Uhuru imefanya nini? Bensa8 aliwakosea nini? Mungu atajibu tu huu unyama wenu mnaofanyia wananchi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom