Uwanja wa Singida upo na ubora sana

mtungu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2021
Posts
271
Reaction score
439
Nazani ndo uwanja mzuli ukitoa Taifa na Chamanzi aliyetengeneza atafutwe atengeneze na hivi vengine hasa mkwakwani tanga Sokoine Mbeya jamuhuri dodoma Kirumba, Mwanza viwe bora ka huu wa Singida unaona hata michoro inaonekana imenyooka.
 
Nazani ndo uwanja mzuli ukitoa taifa na chamanzi aliye tengeneza atafutwe atingeneze na ivi vengine hasa mkwakwani tanga sokoine mbeya jamuhuri dodoma kirumba mwanza viwe Bora ka huu wa singida unaona ata michoro inaonekana imenyooka
Mandonga stadium
 
Mkuu changamoto ni nini hasa? Mbona unaandika hivyo? Ndo, mzuli, chamanzi, ka na ata.
 
Nazani ndo uwanja mzuli ukitoa taifa na chamanzi aliye tengeneza atafutwe atingeneze na ivi vengine hasa mkwakwani tanga sokoine mbeya jamuhuri dodoma kirumba mwanza viwe Bora ka huu wa singida unaona ata michoro inaonekana imenyooka
Inaonekana ULIKUWA unaandika huku unakata gogo
 
Yeah wako na pitch bora sana..lakini nasikia eti ni hela zetu za tozo🤣
 
Bila shaka hijawahi fika nyamagana mwanza na Kaitaba bukoba
 
Sehemu nzuri ni kwenye nyasi tu, kwa majukwaa hakuna kitu...
 
Mambo ya Dokta Lameck hayo. Safari hii hataki kabisa utani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…